HABARI MPYA NDANI YA YANGA HII HAPA.


Kikosi cha mabingwa watetezi Wa VPL,Kesho wanatarajia kuanza mazoezi ya kujifua kuelekea mechi yao ya FA.

Yanga wanarejea Leo kambini tayari kwa mazoezi hayo ikiwa in siku 6 Kabla ya mechi hiyo itakayopigwa tarehe Mosi uwanja Wa Namfua mjini Singida.

Yanga itawakosa Kabwili,Yondani,Ajibu na Michael ambao wanaitumikia timu ya taifa Taifa Stars inayojiandaa na mechi dhidi ya Congo.

Usisahau kutupa maoni yako.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).