Amaizing:TAMBWE, NIYONZIMA NA HAMIS TAMBWE WAONEKANA WAKIFANYA MAZOEZI PAMOJA.

Wachezaji wa Yanga, Thaban Kamusoko na Amis Tambwe pamoja na Haruna Niyonzima wa Simba, wamekutana katika 'Gym' kufanya mazoezi pamoja.

Wachezaji hao wote hawajawa na msimu mzuri katika Ligi Kuu Bara kufuatia kuwa majeruhi, kitu ambacho kilipelekea wakosekano kwa muda mrefu viwanjani kuzitumikia timu zao.

Kitendo cha wachezaji kufanya mazoezi pamoja kimeonesha dhahiri shahiri mpira si uadui, tofauti na wengi wasiokuwa na uelewa ndani ya timu hizi mbili Kongwe za Simba na Yanga

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).