HABARI NJEMA KWA WANAJANGWANI. Yanga ya Pata mwaliko mpya wa kushiriki mashindano nchini KENYA.



Hii ni inaweza kuwa Habari njema kwa kwa wanajangwani, kupata Fursa ya kushiriki michuano mbalimbali.

Yanga Inayoshiriki michuano mitatu mpaka sasa, Habari kutoka ndani ya klabu hiyo ni mwaliko walioupokea kutoka nchini Kenya kwenda kushiriki michuano ya SportPesa, ambayo imeandaliwa na wadhamini hao.

SportPesa ni wadhamini wa Yanga pia katika ligi Kuu VPL na mpaka sasa Yanga itafikisha jumla ya michuano minne(4). Ikiwemo VPL, FA cup, Shirikisho barani Afrika, na SportPesa.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).