HABARI MPYA KUHUSU TSHISHIMBI NDANI YA YANGA.


Kiungo mahiri was Yanga Papy Kabamba Tshishimbi Leo amekabidhiwa zawadi take baada ya kufanikiwa kupata tuzo ya mchezaji bora was mwezi wa pili

Papy alifanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya kuwa shinda wenzake Pius Buswita (Yanga) na Emmanuel Okwi (Simba).

Tshishimbi amekabidhiwa kiasi cha Tsh milioni moja,na mdhamini mkuu wawa ligi kuu Tanzania bara Vodacom.

Kwa upande mwingine Papy anasuburia zawadi take ya King'amuzi cha Azam TV,kutoka kwa mdhamini mwingine wa ligi Azam.


Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).