MSIKIE HAJI MANARA,ALICHOKISEMA BAADA YA NIYONZIMA KUONEKANA AKIWA GYM NA WACHEZAJI WA YANGA Thaban Kamusoko na Hamis Tambwe.Bofya hapa kujionea.

Baada ya wachezaji wa Yanga,na Simba,Thaban Kamusoko,Haruna Niyonzima na Hamisi Tambwe kuonekana wakiwa Gym kwenye mazoezi ya pamoja,jana Ijumaa,March 23,ishu hiyo imemuibua Afisa habari wa Simba Haji Manara.

Katika Ukurasa wake wa Instagram Manara amewashukia wanaodhani Simba na Yanga ni maadui wakati timu hizo ni watani wa jadi na washindani wa dakika 90 tu wawapo uwanjani.

"Very nice,hawa ni pro hasa..wanacheza timu shindani kwenye soka nchini,wanatoka mataifa tofauti..lakini wapo gym pamoja..hili ndio soka..always nawaambia Simba na Yanga ni washindani wa dak 90 na watani wa jadi tu..chuki za kijinga zinaletwa na washamba walozijua hizi timu FB,WhatsApp na Instagram..niwatakie heri magwiji wetu @thabani_scara_13 @tambwe17 @niyonzimaharuna''

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).