HATIMAYE MANARA AFIKA HADI KWA Rostand Apiga kijembe nako.



Kama kawaida yake ,msemaji asiyepungukiwa maneno,
Sasa kafika hadi kwa golikipa wa Yanga Youthe Rostand kwa kumpiga kijembe nae
MANARA aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii Instragram hivi
"Ukiachana na goli bora,kipa bora,mfungaji bora,na hili ndilo pozi bora"

Nibaada ya kupata picha aliyokuwa ameipiga kipa Hugo namba moja,wa Yanga akiwa Botswana.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).