MBILI KALI ZA YANGA LEO
YANGA LEO JUMAMOSI 12.8.2017
Mchezo wa Kirafiki
Klabu ya Yanga Leo inatarajiwa Kushuka Dimbani Kucheza na Ruvu Shooting katika Uwanja wa Chamazi katika Hali ya Kujiandaa na Ligi KUU Tanzania Bara na Mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Simba.
Mchezo huo awali ndugu mwana kwataunit.com ulikuwa uchezwe Taifa Ila Jana ulihamishiwa Chamazi Baada ya Yanga kupewa Taarifa kutoka Serikalini Kutoutumia uwanja huo.
Yanga Itawakosa wachezaji wanne
Yanga katika Mchezo wa Leo dhidi ya Ruvu itawakosa wachezaji Youthe Rostand, Beno Kakolanya, Mwashiuya na Obrey Chirwa wachezaji hawa wote ni majeruhi japo ndugu msomaji wa GODYNEWSTZ hali zao zinaelezwa kuwa siyo mbaya sana.
Kwamujibu wa Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema Afya zao zinaendelea Vizuri na wote wataungana kambi ya Pemba kujiandaa na Ligi na Mechi dhidi ya Simba
Comments
Post a Comment