HAYA NDIYO YALIYOJILI BAADA YA SIMBA DAY. hapo jana
Ni mara baada ya hapo jana Simba (mnyama) kuwatambulisha wachezaji wake wapya. Baadhi ya mashabiki wamekuwa na maoni mbalimbali japo kuwa wengi wao wamejawa na furaha wakiamini kuwa huu ndio mwaka wa Simba kufanya kweli na kuonyesha kufarijika baada ya kukosa ubingwa kwa muda mrefu zaidi.
Akiongea na GodynewsTz shabiki mmoja alisikika akisema sasa kwa simba hii nilazima tuchukue nasi ubongwa mara tatu mfululizo kama sio mara nne.
Tusubirie hapo ligi itakapo Anza mana hatuwezi kujaji kwa mechi hizi chache. Haya ndio maneno ya baadhi ya watani wa jadi.
By Godfrey Mpagike
The super Skeleton boy
Comments
Post a Comment