LEO KAMA JANA AU LAA. Tshishimbi kung'ara tena au laa
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa mnamo majira ya saa 10 jioni kulingana na ratiba, hivyo tupende kuwataarifu wapenzi wasomaji na watazamaji wa soka kuwa leo tutakuwa tukiwaletea matokeo yote live, kwa kutumia video za magoli nakadharika.
Dont miss it
By Godfrey Mpagike
Comments
Post a Comment