HABARI MBAYA KWA NGOMA KUTOKA NDANI YA YANGA.

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Jumapili ya April 29 2018 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mkuu wa idara ya habari ya mawasiliano wa Club ya Dar es Salaam Young Africans Dismas Ten ameongea na waandishi wa habari na kueleza maandalizi ya timu.

Dismas Ten amethibitisha kuwa kikosi cha Yanga kimerejea leo kutokea mjini Morogoro ilipokuwa imeweka kambi lakini kwa upande wa mshambuliaji wao wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma wanaomba mashabiki wamvumilie kwani bado anaendelea kuuguza majeraha yake.

MchekiMange Kimambi akilisakata Rumba Indee.
Like, share na SUBSCRIBE for more videos

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).