Bado tunanafasi ya kutetea ubingwa tena kwa Mara nyingine.SHADRACK NSAJIGWA.


Aliyekuwa kocha msaidizi wa YANGA maarufu kama Shadrack Msajigwa Fuso ametoa yake ya moyoni kuhusu mbio za kutetea ubingwa wao Mara ya NNE mfululizo dhidi ya simba sc,
kocha Huyo aliyewahi kuitumikia YANGA kwa kipindi kirefu alikaririwa akisema
'' Hatujakata tamaa ya kutetea ubingwa. Tusubirie ligi imalizike ndiyo washangilie ubingwa. Sisi tumebakiza mechi nyingi kuliko wao''

Bofya hapa kutazama mwanadada huyu je, siku anaweza kupeperusha bendera ya Taifa ama LA.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).