DANTE OUT MWCHI YA KESHO.YANGA vs singida united


Kikosi cha Yanga kinashuka Dimbani Taifa kesho Jumatano kikiwakaribisha walima alizeti, Singida United kutoka Singida katika mchezo wa ligi kuu bara.

Yanga itakuwa kibaruani ikiwa na kumbukumbu ya kuondoshwa na Singida kwa changamoto ya mikwaju ya penati kwenye michuano ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Namfua.

Kuelekea mchezo huo, Yanga itamkosa beki wake Andrew Vincent 'Dante' aliyeumia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Wolaitta Dicha SC.

Mechi hiyo itaanza majira ya saa 10 kamili jioni

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).