Nani Mkali

HARUNA NIYONZIMA vs TSHISHIMBI

Kulikuwa na maneno mengi kabla ya ligi kuu Tanzania bara haijaanza. Hii ni kutokana na sajili mbalimbali zilizofanywa na vilabu mbalimbali.

Nadhani mpaka sasa baada ya hizi mechi mbili ambazo kila timu imezicheza tinaweza tukawa angalau tuna namna ambayo tunaweza tukajaji mchezaji mmoja mmoja mfano NIYONZIMA NA TSHISHIMBI, Hii inakuja baada ya wachezaji hawa kuteka mabishano ya watu mara baada ya kusaini mikataba na timu zao mpya.
Je ni nani ambaye mpaka sasa kati ya  hawa wawili nani ambye katisha mpaka sasa majibu unayo wewe.

Na kiraka wetu.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya