BAYERN YAZIDI KUWAJALI MASHABIKI WAO.


Klabu ya Bayern Munich imeingia mkataba na hoteli maarufu ya Courtyard by Marriott kutengeneza vyumba ambavyo vitawawezesha baadhi ya mashabiki wake kushuhudia mechi zake kwenye Uwanja wa Allianz Arena wakiwa kitandani.

Hoteli hiyo itajenga uwanja huo ambao sehemu ya vyumba vyake vitakuwa vikiangalia sehemu ya uwanja huo.

Hivyo watakaopanga, pamoja na kupata huduma ya kulala, watakuwa wakipata nafasi ya kuangalia mechi uwanjani hapo wakiwa vyumbani mwao.

Comments

Popular posts from this blog

Kubemenda Mtoto

Siwezi pitisha siku bila kutembea na malaya

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO. (Oral sex).