Posts

MZUMBE UNIVERSITY: Applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018

Image
Some applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year at Mzumbe University, but have also been selected by other Universities. The candidates are requested to confirm that they will join Mzumbe University by clicking to  Admission Confirmation Form   and fill the required information not later than 7 th  October 2017. Failure to confirm by the stipulated date will lead to cancellation of your admission at Mzumbe University. Click here to See the list.

Degree Students Selecte at Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) on various degree programmes

Image
SELECTED APPLICANTS AT CUHAS AND OTHER UNIVERSITIES Below is the list of applicants who have been successfully been selected to join various programmes at CUHAS but also been selected to join other Universities.  Applicants have to confirm joining at CUHAS not later than 08/10/2017 through the following Contacts Mobile:0766 322 391, +255 28 2500881 Email:vc@bugando.ac.tz  LIST OF SELECTED 1. Bachelor Of Pharmacy 2. Doctor Of Medicine 3. Bachelor Of Science In Nursing

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MWAKA WA MASOMO RUCU 2017/2018.

Image
LIST OF SELECTED APPLICANTS TO JOIN VARIOUS DEGREE PROGRAMMES (2017/2018) The list of selected Applicants to join various Degree programmes at Ruaha Catholic University ONLY. Click the link to view the particular list Bachelor of Arts in Education (BAED) Bachelor of Accounting and Finance with Information Technology (BAFIT) Bachelor of Science in Computer Science Information Systems (BSCIS) Bachelor of Laws Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering (BSCSE) Bachelor of Business Administration (BBA)

MAGAZETINI LEO 05/10/2017

Image

Vigogo wa simba waendelea kusota rumande

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ hadi October 11, 2017 kwa sababu upelelezi haujakamilika. Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leornad Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa kuwa shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutajwa na upelelezi haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine ambapo baada ya kueleza hayo Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi October 11, 2017. Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey wanakabiliwa na mashtaka matano ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha Dola za kimarekani 300,000. Washtakiwa wapo rumande kwa sababu shtaka la kutakatisha fedha linalowakabili halina dhamana.

MSUVA. Kuacha utoto ndio kilicho mtoa YANGA.

Image
Kiungo mshambuliaji wa Mbao FC James Msuva amesema utoto ndio uliomfanya akaondoka ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kupandishwa kutoka timu ya vijana (U20) na aliyekuwa kocha wa Yanga wakati huo Hans van Pluijm. “Ilikuwa ni utoto tu, baada ya kupandishwa kwenye timu ya wakubwa kuna siku tulikuwa na mechi ya kirafiki Yanga vs KMC, nikachelewa kufika. Tangu hapo mzungu (Hans van Pluijm) hakunielewa akanisimamisha nikabaki nyumbani.” “Ilikuwa ni kipindi cha mwishoni mwa ligi, baada ya ligi kumalizika brother (Simon Msuva) akanishauri niende kujaribu sehemu nyingine nikaenda kujiunga na JKT Ruvu badae ikashuka daraja, sasa hivi nipo Mbao bado napambana.” “Katika vitu ambavyo Msuva huwa ananishauri ni kujituma, anataka  nipambane mwenyewe watu waone ili wasiseme labda natumia jina lake. Mambo mengine huwa naona mwenyewe, kama changamoto na mafanikio anayopata.” Alivyopandishwa kikosi cha wakubwa Yanga Msuva amesema, walikuwa wakifanya mazoezi na kikosi cha wakubwa cha Y...

WANAMUZIKI WA AFRICA WENYW FOLLOWERS WENGI ZAIDI

Image
Davido  Msanii kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido aliyetamba na ngoma yake ya “Fall” iliyofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla, Davido ndio msanii mwenye mashabiki wengi kwenye mtandao wa instagram (Milioni 5) katika Bara la Afrika. Nafasi ya pili inafuatiwa na msanii kutokea Nigeria pia Wizkid Ayo maarufu kama star boy mwenye mashabiki million 4.1 kwenye kurasa yake ya instagram, Wizkid ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa  kimuziki kwa kuitangaza vyema Afrika kwa kufanya kazi na wasanii wengi nje ya Afrika akiwemo Drake kutokea Marekani, Justine Skye na wengine wengi.  Wizkid Bila kumsahau msanii kutokea  Tanzania Diamond Platnumz ambaye anashika nafasi ya tatu kama msanii mwenye mashabiki millioni 4 kwenye kurasa yake ya instagram katika Bara la Afrika, huku Don Jazzy wa Nigeria akiwa nafasi ya 4 kutokea Nigeria kwa kuwa na masabiki million 3.4 na Peter wa PSquare kutokea Nigeria mwenye mashabiki million 3....