Posts

Showing posts from 2019

MAGAZETI YA LEO 10/1/2019

Image
W

ZAHERA KUIVURUGA SIMBA KLABU BINGWA

Image
kwa taarifa zaidi endfelea kufuatilia habari zetu kila siku na usisahau kusoma gazeti   hili la LAJIJI

Wachezaji wa Simba waliobaki kucheza fainali Kombe la Mapinduzi

Image
Wachezaji nane wa kikosi cha kwanza waliobaki Zanzibar kuungana na wale wa kikosi cha U20 kucheza mechi ya Nusu Fainali 1-Ally Salim 2-Zana Coulibaly 3-Asante Kwasi 4-Paul Bukaba 5-Yusuph Mlipili 6-Mohamed Ibrahim 7-Abdul Seleman 8-Adam Salamba  

Kikosi cha Yanga dhidi ya Jamhuri Leo hiki hapa

Image
Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo katika mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri, Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar. Kikosi kitakachoanza 1. Ibrahim Hamid 2. Yassin Saleh 3. Gustafa Saimon 4. Cleofas Sospeter 5. Said Juma 6. Maka Edward 7.Shaban Mohamed 8. Pius Buswita 9. Matheo Anthony 10. Faraji Kilaza 11.Deus Kaseke Kikosi cha akiba 1. Ibrahim Abraham 2.Deonatus Mukami 3. Erick Msagati 4.Bakari Athuman 5. Cheda Hussen 6. Salum Mkama 7. Mohamed Salum 8. Ramadhan Mrisho

MGOMBEA YANGA ATOA AHADI NZITO NZITO

Image
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika Klabu ya Yanga Magege Chota, ameahidi kulipa fedha zote za mishahara endapo atachaguliwa. Mgombea huyo amesema kuwa Yanga hivi sasa inapitia wakati mgumu kiasi cha kwamba wachezaji wamekuwa wakicheza bila kutimiziwa stahiki zao. Chota ameeleza suala hilo litakuwa ni la kwanza kuanza kulitekeleza ili kuondoa mkanganyiko uliopo hivi sasa ndani ya kikosi ambapo kuna baadhi ya wachezaji wamekuwa wakigoma. "Unaua wachezaji wa Yanga wengi hawajalipwa fedha za mishahara yao, nawaahidi wanachama wa Yanga kuwa nitafanya zoezi la kuwalipa wachezaji ili vita ya mapambano ishike kasi endapo wakinipa kura" alisema Chota Mwanachama huyo ameanza kampeni zake rasmi baada ya hapo jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuthibitisha kuwa muda wa kampeni umeshaanza na utachukua siku tano